.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

TWIGA AGONGWA NA GARI NA KUFA KATIKA HIFADHI YA KATAVI

Maofisa wa TANAPA ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Katavi,Wakiwa wamenaswa na Camera ya Globu ya Jamii, ilipokuwa imetoka kwenye kazi maalum Wilayani Mlele mkoani humo na kukumbana na tukio hilo la Maofisa hao wakimtazama Twiga aliyegongwa na gari na kufa papo hapo, katika tukio hilo la huzuni kubwa, gari iliyohusika na ajali hiyo halikujulikana mara moja.Maofisa wa TANAPA waliokuwa doria hifadhini,wakitafakari jambo mara baada ya kumkuta Twiga akiwa amegongwa na kufa papo hapo jioni ya leo ndani ya Hifadhi ya Wanyama Katavi.
Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad