
Hili ndilo taulo la kipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda lililozua tafrani kwenye mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba jumamosi iliyopita kwenye uwanja wa Taifa,ambapo wachezaji wa Yanga walidai kuwa taulo hilo lina mambo ya ushirikina ndiyo maana walikuwa wanashindwa kufunga.
0 comments :
Post a Comment