Baada ya kukosa mechi saba, Kiungo Mesut Ozil aliesainiwa kutoka Real Madrid ya Hispania kwa ada ya £42.5 million, ameweza kurejea leo wakati Arsenal walipoingia dimbani kuminyana na Hull city ambao alipewa majukumu ya mshambuliaji ,
Ozil akiwa mapumziko na Mchumba yake jijini New York |
"Good luck... we are so proud of you" na kuweka picha pia ambayo ipo chini.
picha ilioweka mpenzi wa Ozil Like facebook page yetu kuendelea kupata news pindi tu zinapotokea bure kabisa click hapa BLOG YA VIJANA |
0 comments :
Post a Comment