Wakati mashabiki wa kundi la muziki linaloiwakilisha vizuri Afrika kidunia P-Square kutoka Nigeria wanaendelea kuwaombea ndugu hao wamalize tofauti zao, mke wa Peter Okoye aitwaye Lola Omotayo, amevunja ukimya kwa kuzungumza baada ya ripoti kumtaja kuwa sehemu ya chanzo cha matatizo ya familia hiyo yaliyojitokeza.Kupitia ukurasa wake wa facebook Lola ambaye ni mama wa watoto wawili wa Peter ameandika:
Peter Okoye na mke wake Lol
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment