Mtangazaji wa Radio One Rachel Udoba amekamatwa huko Atlanta/USA baada ya kukutwa akiiba katika duka ,, mtandao wa georgia-mugshot-search.com umethibitisha taarifa hizo, huku msichana huyo akitambulishwa kuwa ametokea nchi ya Gwinnett, GA, pia kupitia mtandano huo wamethibitisha kuwa mwanadada huyo yupo huru sasa.
.

.
shop now
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment