.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Shilole Aamua Kujisifu Katika Mitandao Ya Kijamii "Sijawahi Kuachwa Nikijisikia Huwa Naacha Muda Wowote"



STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe.


Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.
 

“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa sababu naweza kumuacha mwanaume kwa kumtukana lakini akataka kurudi, sijawahi kuachwa,” alisema Shilole.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad