.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

ADAM MCHOVU AWAPONDA WEUSI, SOMA JIBU LA WEUSI BAADA YA KUPONDWA

Ni mtangazaji anaye host show ya Xxl na Bongo fleva Adamu mchomvu aka Baba jonii ambaye aliamuwa kuwaponda weusi kwenye show ya Xxl.

Baba jonii alitoa kauli kuwa hawajaitendea haki video yao ya GELE

Kauli ya Adam Mchomu ilikua hivi
“uknow now muziki unaeleweka na watu now day ‘s wanaelewa kwenye video ya Gele kuna sehemu hawaja tenda sawa kuna sini wame shoot kama wapo kwenye jangwa ambapo wao wali shoot ndani imean in dor ingekuwa poa sana wange skotia kwenye jangwa kabisa coz kuna majgwa mengi Arusha”.

BK tuliamua kumvutia waya Membar wa weusi John Saimon aka Joh makini ili kujibu tuhuma hizo

Kauli ya Joh Makini ikawa hivi...
 ” sisi kama weusi tuna wapa watu nafasi yakutoa maoni yao kwani tunapenda kukosolewa ili next time tusiweze kurudia kosa kwa jinsi Adamu alivyo ongea ni luksa kwani kila mtu ana jicho lake natuna waahidi watu tutazidi kutoa video nzuri ”
Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad