.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MANENO YA MADEE JUU YA UHUSIANO WAKE WA KIMAPENZI NA JINI KABULA


Rais wa Manzese Madee kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee 

ambapo hiki ndicho 

alichokizungumza Madee baada ya swali hilo. Madee>>’Mimi bado sitoki mtu,nikiwa tayri nitawaambia mbona mwanzi nilipokuwa natoka na Yule wa mwanzo niliwaambia kwa hiyo ikiwa tayari nitawaambia,huyo kabula mi mshkaji wangu kuna kazi tunafanya itakuja mtaona.
Soudy Brown alipomuuliza kuwa mbona mtaani wanaonekana sana wakiwa pamoja kama madukani,kuogelea na sehemu tofauti Madee amejibu >>’Hakuna kitu kama hicho.
Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad