.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MSANII MADEE AKIUKA AMRI ZA JESHI, YUPO HATARI KUKAA NYUMA YA NONDO KWA SIKU KADHAA

Ni miezi michache tu tangu msanii Young killer kukamatwa na wanajeshi na kuvuliwa nguo aliokua amevaa yenye mabaka ya wanajeshi, sasa hii itamtokea Msanii wa manzese anaetamba na kibao cha Tema Mate Tuwachape, Madee Ali hii ni baada ya yake aliokua amevaa nguo zenye mabaka ya kijeshi kusambaa mitandaoni, Tujikumbushe ni muda sasa tangu jeshi la Tanzania litangaze kuhusu kuvaa nguo zenye mabaka ya kijeshi ila imekua kama ndivyo sivyo kwa msanii Madee ambae amekiuka amri ya Jeshi na kuendeleza kupiga vazi hilo..


Tangaza biashara yako katika blog hii kwa kutuma email blogyavijana@gmail.com ili kuwasiliana na Uongozi wa blog

Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad