.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MWEEE.. MASHABIKI WAMSHUKIA NEY WA MITEGO, WAMPA MANENO


Nay wa Mitego anaamini kuwa ukimtoa Profesa Jay wa zamani (anadai huyu wa sasa kachoka) yeye ndiye rapper bora zaidi kuliko mwingine Tanzania. Lakini mashabiki wanaikubali kauli hiyo? Hell NO!!

Octavian Kiwale
Unatafuta kick tu wewe, nadhubutu kukuambia ukizungumzia HIP HOP hata killer tu hujamfikia ndo ujiringanishe na Prof?//////// FID Q ndo usimwongelee kabisa

Winnie Glory 
We ney fid Q na joe makin huwafiki hat robo, mbuz tu wew ndo man unalelewa na siwema

TheBoy Junior
Na je nakula ujana ipo wapi hip hop au bongo fleva na akisema ye ndo anaongea ukweli nash mc tumuweke wapi sasa? Asitafte kiki wasanii wa hip hop wengi na wanafanya vile hip hop inapaswa kuwa. Huyu hana jipya tena tafta Scandal utoke kama diamond na si kwakusema we ndo hip hop hata hip hop yenyewe huijui….

Agapito Petro
Mwana fa,ngwair(r.i.p.),kala jere100, ay n.k. Huwafikii hata kiduchu

Laurent Mwamlima
Ney umeishaaaa… kajititie tu Hata MPOKI MJUNI hata mzee MGARI humfikii kwa hip hop

Vitalis Kaizer
Hata 50 bora ya hip hop sidhani kama umo bado sanaaaaaaa kuropoka sio hip hop jipangee!!

Dotto Kondo 
Huyu jamaa bhana,sometimes nahc huwa akili zinamruka

Ze Jap Suprah 
Chiz wewe mwambie aandike kip sijasikia hafu tuone

Rashid Mtoi 
Dogo janja mwenyewe humfikii hata robo
Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad