SABABU YA NIGERIA KUIFUNGA TANZANIA, MTANZANIA AKUTWA NA MWANAMKE KABLA YA MECHI
Mchezaji mpira Beka Bakari anaekipiga katika timu ya taifa ya vijana Ngorongoro Heroes aliweka picha hii katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno hayo, picha hio iliwekwa siku 4 kabla ya pambano la Ngorongoro Heroes dhidi ya Nigeria, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa huku Nigeria wakiondoka na ushindi wa Mabao 2 kwa bila.. huku moja ya sababu ya kufungwa kwa Ngorongoro heroes katika mchezo huo ikiwa ni kukosa nguvu ya kushindana na wanigeria.... Moja ya sababu ya kukosa nguvu ni wanawake, inaonesha wachezaji wa Ngorongoro heroes huachiwa huru wakiwa kambini na kuweza kukutana na wanawake zao kisha baadae kuwaondoa katika hali ya mchezo....... Kwa mwendo huu tutafika..maoni email- blogyavijana@gmail.com

0 comments :
Post a Comment