.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BABY MADAHA; "WEMA SEPETU TUACHIE NA SISI HUYO DIAMOND TUFAIDI"

Star wa filamu na muziki wa Bongoflava
Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea
penzi la Diamond Platnumz na kumtaka
Wema Sepetu awaachie na wao Diamond
a.k.a Sukari ya warembo ili wafaidi kama
anavyojiachia.
Chanzo kimoja kilicho karibu na Baby
Madaha ambacho pia kinafanya juu chini

kuwika katika filamu kwa masharti ya
kutotajwa jina lake kikizungumza na
Swahiliworldplanet wiki iliyopita kilisema
kuwa:
"Nawapa habari, Baby Madaha anamtaka
Diamond hata kule kumponda kwenye
media sio kwa dhati ni njia ya kumshawishi
amtongoze.
"Sikia nikwambie, katika Kill 
Awards
(mwaka huu) Madaha alikuwa na lengo la
kumbusu Diamond kwa stage lakini
alikuwa anamhofia Wema na Team Wema
wangeweza kuja juu ikawa habari mpya...
"Anamtaka ila anashindwa tu kusema wazi,
unajua Wema anambana sana Diamond,
anataka Wema amwachie" kilisema chanzo
hicho huku kikisisitiza kuwa kisitajwe jina
lake .

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad