
Walianza kuchukua headlines za kolabo za kimataifa baada ya kushirikiana na Akon pamoja na Rick Ross ila time hii anaefata ni HUYU..
Wakiwa wanaifanyia kazi album yao ya sita, P Square kutoka Nigeria hawajazungumza maneno ya ziada baada ya kuthibitisha kwamba wamemshirikisha rapper T.I kwenye moja ya nyimbo za hiyo album.
Hizi picha ni wakati wanafanya video ya kolabo yenyewe nchini Marekani.

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment