.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BREAKING NEWS; STEVEN NYERERE AJIUZURU UWONGOZI WA BONGO MUVI


Baada ya kuwepo na malalamiko mengi ndani ya Bongo muvi Unity kuhusu Uongozi kuwatumia wanachama kupata Ulaji wao wa kila siku, huku chama kikiendelea kushuka, leo hii katika pita pita zangu kwenye mtandao wa Instagram, nikakutana na post ya Steven Nyerere ambae ndo alikua Rais wa Wasanii wa Bongo Muvi Unity, ametangaza rasmi kujizuuzulu rasmi nafasi yake hiyo kuanzia sasa hivi na kwamba kesho asubuhi atazungumza na Waandishi wa habari katika Ukumbi wa Maelezo hapa mjini kuelezea kwa kirefu kuhusu uamuzi wake huo. Akuzungumza na moja ya Blogu nchini Tanzania muda mchache uliopita Steve alikuwa akiongea kwa upole sana na kusisistiza kwamba hatatoa maelezo leo mpaka kesho, juhudi zote za kumbana aseme sababu ya uamuzi wake huo wa ghafla Steve alisema ni kesho tu ndio atatoa maelezo kwa anayetaka kujua na kusikia sababu aje kesho Asubuhi Maelezo.


Pia kumbuKumbu yangu inaonesha kwamba imepita mwezi mmoja sasa tangu William Mtitu ambae pia alikua mmoja kati ya viongozi wa Bongo muvi kutangaza kujiuzuru katika nyadhifa aliokua amepewa katika kundi hilo la waigizaji wa tasnia ya filamu nchini Tanzania



                     CLICK HERE
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad