.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

KENYATTA: "SIWEZI KUHUDHURIA MAHAKAMA YA TAIFA MWEZI UJAO, NINA SHUGHULI NYINGI."



RAIS KENYATTA YUKO 'BUSY' SANA KWENDA ICC
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema hawezi kuhudhuria Mahakama ya Kimataifa ya The Hague mwezi ujao kwa kuwa ana shughuli nyingi. Rais Kenyatta anatakiwa kufika katika mahakama ya ICC kujibu tuhuma kuwa serikali yake ilizuia baadhi ya nyaraka. Bwana Kenyatta anatuhumiwa kwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi mwaka 2007 - tuhuma ambazo anakanusha. Kesi yake imekuwa ikiahirishwa mara kwa mara.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad