Mastaa wengine waliotua kwenye ardhi ya Jakaya time hii ni mwigizaji staa wa Marekani Gabrielle Union na mumewe Dwyane Wade mcheza kikapu wa Miami heat ambapo wameifanya Serengeti Tanzania kuwa sehemu nyingine waliyoitembelea duniani wakiwa kwenye honeymoon yao.Mara tu baaada ya kufunga ndoa nchini Marekani wiki kadha zilizopita
Gabrielle ana wafuasi zaidi ya milioni mbili na laki tatu kwenye page yake ya insta alikopost hizi picha za Tanzania.
0 comments :
Post a Comment