Metro wameripoti kuwa timu ya Arsenal imekubali kumlipa Sami Khedira £100k kwa wiki na tayari wanategemea kumnasa mjerumani huyu January mwakani.
Manager Arsene Wenger amekuwa akimfukuzia kiungo huyu wa Real Madrid mwenye miaka 27 kwa miezi kadha sasa na huu ndio muda wa kukamilisha dili lao.
Manager Arsene Wenger amekuwa akimfukuzia kiungo huyu wa Real Madrid mwenye miaka 27 kwa miezi kadha sasa na huu ndio muda wa kukamilisha dili lao.
Khedira yupo kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake na Real Madrid inataka £15 milioni kabla mkataba wake haujaisha akachukuliwa bila malipo
0 comments :
Post a Comment