MTV wamemtangaza rapper Nicki Minaj kuwa ndiye atakuwa host wa tuzo za 2014 MTV Eurrope, MTV EMA ambazo Mtanzania Diamond Platnumz pia ni miongoni mwa nominees kutoka Afrika.
Nicki Minaj licha ya kuhost lakini pia atatumbuiza kwenye tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa November 9 na kuoneshwa live kutoka jijini Glasgow, Scotland.
0 comments :
Post a Comment