.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HABARI ZAIDI KUHUSU KUUWAWA KWA CAPTAIN NA KIPA WA TIMU YA TAIFA YA AFRIKA KUSINI..

Goli kipa na Kapteni wa timu ya taifa ya South Afrika Senzo Meyiwa amepigwa risasi na kufarika katika mji wa Johannesburg, ripoti ya Police


Kupitia mtandao wa twitter SA Police Service ameandika "Inatubidi kustopishe .. Tunaweza kuthibitisha kwamba kipa Senzo Meyiwa amepigwa risasi na tunahudhunika kwamba amefariki baada ya kufika hospitali"



SA Police Servise wamthibitisha kupitia mtandao wa twitter kwa kusema 
"Tukio limetokea majira ya saa mbili usiku upande wa Zamo ndani ya Vosloorus, (kilomita 20 kutoka kusini wa mjini,) zawadi wa R150 000 kwa mtu atakae toa taarifa itakayo saidia kukamatwa kwa waujai hao.
Meyiwa alikua na miaka 27, amecheza katika mechi ya Orando Pirates siku ya Jumamosi pia ameiwakilisha pia timu ya taifa ya South Afrika katika mechi nne za mwisho za kufuzu 2015 African cup Of Nation.   
Kupitia mtandao wa kijamii wa twitter, SA Polisi Service ameandika:  
"Hakuna mtu aliekupo ndani ya nyumba ameumizwa, Tunawahakikishia wananchi wa Afrika kusini kwamba tutajituma kwa hali ya juu kuleta daftari la waliohusika na kifo cha Meyiwa"
"Watu 7 walikuwa ndani ya nyumba. Watuhumiwa wawili (2) walingia ndani ya nyumba, mmoja alibaki nje. Watuhumiwa hao watatu walikimbia kwa mguu."(hawakutumia chombo cha usafiri) baada ya kumaliza kupiga risasi".
Hii ndo Tweet yamwisho ya Senzo Meyiwa Kupitia mtandao wa Twitter

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad