Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Meneja na Designer maarufu nchini Tanzania, Martin Kadinda amepost picha ambayo inaonesha Dolla za kimarekani pamoja na passport, simu na wallet, Pia ameandika maneno ambayo yameashiria kwamba anaenda kumuona Model, Jack Cliff ambae amefungwa kwa kutokana na kukamatwa na madawa ya kulevya huko Macau nchini China.
Hii ndio Akaunti ya Instagram ya Jack Cliff
0 comments :
Post a Comment