Baada ya kuripotiwa kuugua ugonjwa wa EBOLA - hatimaye kiungo wa kimataifa wa Ghana Micheal Essien amejitokeza na kusema yeye ni mzima wa afya - hajaathirika na ugonjwa huo. aliandika maneno hayo kupitia akaunti yake ya Instagram MICHAEL ESSIEN AKUNUSHA KUAMBUKIZWA EBOLA
Baada ya kuripotiwa kuugua ugonjwa wa EBOLA - hatimaye kiungo wa kimataifa wa Ghana Micheal Essien amejitokeza na kusema yeye ni mzima wa afya - hajaathirika na ugonjwa huo. aliandika maneno hayo kupitia akaunti yake ya Instagram
0 comments :
Post a Comment