.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MSANII NIKII WA PILI KURUDI CHUO KUCHUKUA PHD

Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD , Rapper wa ngoma ya "sitaki kazi" alipokua akizungumza na kipindi cha XXL cha clouds fm siku ya leo Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ameapply na amepata nafasi chuo kikuu cha Dar es salaam na week ijayo anaanza registration, alipoulizwa kuhusu Music  alijibu kuwa kwasasa ameshakua na Mashabiki wake wataendelea kupata vitu vikali kama kawaida. WE WISH YOU ALL THE BEST NICK WA PILI.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad