.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MZEE CHILO AELEZA SABABU YA UGOMVI WA BONGO MUVI UNITY

GLOBALPUBLISHERSMZEECHOLLO
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema ungomvi unaotokea ndani ya Bongo Movie Unity unasababishwa na uchu wa madaraka. Chilo amesema hakuna chochote kinachogombaniwa zaidi ya madaraka ndani ya tasnia hiyo ambayo amedai imekosa ushirikiano.
“Nimesikia mengi sana kuhusu bongo movie unity, sijui huyu kajiuzulu lakini niseme ukweli tatizo ni uchu wa madaraka,” ameiambia Bongo5. “Kila mtu anamwona mwenzake anakula sana, sasa kwa hali hii hatuwezi fika kokote. Sisi ni wamoja bila kuwa na taasisi za kutuongoza tutaishi vipi? Mimi hawakutaka ushauri wangu kuhusu hili suala ndio maana wala sikuliingilia, wakinihitaji nitawashauri. Kikubwa cha kuwashauri nawataka tushirikiane, tuache tofauti zetu.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad