Dar es Salaam.
Hatua ya Kurahisisha usafiri wakutoka mjini mpaka airport kirahisi kwa kutumia Treni umeanzishwa jijini dar, na mipango ni kuweka urefu wa Kilomita 13 mwisho wa mwaka huu, ilisema serikali jana.
Mpango huo ni kusaidia kupunguza Foleni, usafiri huo utaanza kutumika Desemba 2014 au mwanzoni mwa 2015
Mpango huo utaendeshwa na kampuni ya reli ya Shumake, yenye makao makuu nchini Marekani, ambao walitegemewa kusaini mkataba pamoja na shirika la Reli nchini Tanzania hapo jana. Shumake wanategemewa kuanza kuleta vifaa kwa ajili ya kazi hio.
Dr Mwinjaka aliongea na waandishi jana na kuwa taarifu kuwa maongeza juu ya projecti hio yameshafanyika na memorandum ya uelewa kati ya TRL na Shumaka imeshaandaliwa.
"Tutaawajibika katika project hii na mabehewa yakishafika tu, basi njia hio itaanza kufanya kazi mara moja" alisema Dr Mwinjaka
Treni hio itakuwa na uwezo wa kusafirisha abiria kati ya 800-1000 kwa trip moja tu.
0 comments :
Post a Comment