.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

VIDEO: mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius atupwa jela miaka 5.


Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kwenda jela kwa miaka mitano kwa mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Jaji Thokozile Masipa, akitoa hukumu hiyo mjini Pretoria, pia amempa kifungo cha nje cha miaka mitatu kwa shtaka la kufyatua silaha.
Pistorius amepelekwa moja kwa moja gerezani.
Upande wa mashtaka ulitaka mwanariadha huyo kupewa kifungo cha miaka 10. Upande wa utetezi ulitaka apewe adhabu ya huduma kwa jamii na kifungo cha nyumbani.
Pistorius alikutwa na hatia na kumuua bila kukusudia mpenzi wake, na kufutiwa mashtaka ya mauaji.

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad