Kuna habari zilizokuwa zikienezwa kwenye mitandao kuhusu Diamond Platnumz na show yake ya Iringa, habari zenye lengo la Kuharibu show hio na pia kumtengenezea chuki Heat Maker wa Mdogo mdogo (Diamond Platnumz), Kichwa cha habari kikiwa "Wasanii Iringa watengeneza kamati ya kualibu show ya Diamond Platnumz katika Show ya Mtikisiko Nov 22, kifo cha Geez Mabovu chawa sababu." huku msanii anaetokea Iringa "Najo Mkali" akishutumiwa kuwa ndio kiongozi wa kamati hio huku akikaririwa kuwa ameandika maneno katika mtandao wa Facebook kupitia account yake
"JISACHI ni kati ya ngoma ya kwanza ya DIAMOND PLTNUM leo hii nackia unakuja IRINGA kufanya nn, wakati hujaonesha mchango wowote, tena hujapost ki2 kwa page yko kuonyesha kuwa alikua ni m2 muhimu kwako, wa2 muhimu ka WEUSI walikuwepo ww nan bwanaa mi ka muasisi nimefanya ngoma ya kumuenzi ndani SAMPAMBA MUSIC WW VIPI? "
Cha kushangaza maneno hayo hayaonekani kabisa katika account ya Najo, labda amefuta au hakuandika kabisa ndipo ikanibidi nimcheki ili nisikie kutoka kwake, ila Najo hakuwa na mengi yakusema zaidi ya kukanusha habari hizo.
Endelea kutembelea blog Ya Vijana Kujua zaidi alichoongea Msanii Najo Mkali...
Usisahau Kulike Page yetu ya Facebook Click Here na Follow me on Twitter Click here ili usipitwe na habari pindi tu ntakapo post
0 comments :
Post a Comment