.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Serikali ya NIGERIA yautwaa mji wa CHIBOK uliotekwa na BOKO HARAM


Serikali ya NIGERIA imetangaza kuutwaa mji wa CHIBOK uliokuwa umetekwa na waasi wa kikundi cha BOKO HARAM.
Wapiganaji wa kikundi cha BOKO HARAM waliuteka mji wa CHIBOK alhamisi wiki iliyopita na kutangaza nia yao ya kuanzisha utawala wa kiislamu.
Awali wapiganaji hao walishambulia mji huo na wakuwateka nyara wasichana zaidi ya 200 wanaowashikilia mateka hadi sasa na wametangaza kuwa tayari wamewasilimisha wasichana hao na kuwapatia waume.
Aidha wametangaza kuwa hawana mpango wa kuwa na mazungumzo ya amani ya serikali ya NIGERIA, ili kumaliza mgogoro wa kisiasa nchini humo.

Source: TBC
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad