Friday, 5 December 2014

Feza kessy amwagana na mpenzi wake Oneil wa Botswana, BigBrother wathibitisha


Couple Feza Kessy na O'Neal wa Botswana wamemwagana, Wawili hao walidumu tangu walivyotoka big brother Africa,kupita twitter ya BB9_Hotshots wameandika kuwa couple hiyo ya Oneza imevunjika



Huku mwanadada Feza akiandika maneno haya katika ukurasa wake wa mtandao wa twitter masaa machache kabla ya kurasa ya Big brother kuandika kuhusu kuvunjika kwa mapenzi hayo.



No comments:

Post a Comment