 |
Diamond akiwa ndani ya Gari huku akishangalia pamoja na mashabiki wake walio kwenda kumpokea Airport akitokea Afrika Kusini Haya ndo maneno alioandika Babu tale masaa kadhaa baada yakupoteza Passport yake... "Furaha ya Jana ilipitiliza kiasi ya kwamba nilipoteza passport yangu na kesho Nina safari ya Marekani naomba kwa atakaeikota au mwenye nayo apige namba hii plz 0716796126 naomba tu mnisaidie hata atakae sikia. (Yesterday's happiness overwhelmed me to the extent that I lost my passport.The worst thing about it is that I have to travel to USA tomorrow..Whoever that may come across it PLEASE contact this number 0716796126)." |
Babu Tale amewashukuru wakazi wa Buguruni kwa kumrudishia Passport yake iliopotea wakati wakushangilia pamoja na mashabiki siku ambayo walifika kutokea nchini Afrika Kusini wakiwa na tuzo tatu alizoshinda DiamondPlatnumz katika tuzo za Channel 0
No comments:
Post a Comment