Serikali ya Malaysia imetangaza rasmi upotevu wa MH370 kwamba ni ajali na kwamba kulikuwa hakuna nusurika (wote wamefariki).
Viongozi wanasema kuwa operesheni ahueni inaendelea lakini katika watu 239 waliokuwa Ndani ya ndege sasa wote wanadhaniwa wamekufa.
Mahali ilopo ndege hio bado haijulikani licha ya utafutaji wakimataifa kutumika katika kuisaka katika kusini ya Bahari ya Hindi.
Source: #BBCNEWS
0 comments :
Post a Comment