Muiguzaji Aunty Ezekiel Afunguka kama Mimba imembadili kivyo vyote vile Kama Tabia, au hali ya kubagua vitu Kama chakula au Laa na alikua na Haya yakusema
“Mimba wala haijanibadili maisha kwa maana sipo kama wanawake wengine wanavyokuwa wasumbufu, naamini kuwa nitaendelea kuwa hivi hadi mwisho nitakapojifungua,” alisema Aunty.
0 comments :
Post a Comment