Friday, 9 January 2015

KIMENUKA INSTAGRAM: DIAMOND NA ZARI WAZUA MAKUBWA, HUDDAH AINGIA VITA YA MANENO NA MTOA SIRI ZA ZARI

Inasemekana KingLawrenc ni Shemeji yake Zari, Kinglawrenc ndo alieachia picha hizi 
 

















Ndipo baada ya kijana huyo anaetumia jina la  Kinglawrenc katika mtandao wa Instagram kupost picha hio juu ya Zari na watoto wake na kuandika maneno ndipo mwanadada Huddah kutoka kesho akaona mfungukie ...



Kisha kijana huyo kujibu kwa kuweka picha hii na kuandika maneno hayo chini






No comments:

Post a Comment