Friday, 9 January 2015

NIKKI MBISHI AMJIBU NAY WA MITEGO KWA FREESTYLE....ISIKILIZE

Rapa wa Tamaduni Muzik, Nikki Mbishi amemjibu  Nay wa mitego kupitia freestyle ya dakika moja ambayo ameiachia hewani kufuatia hitmaker uyo wa Nakula ujana kumwambia  amechelewa kuacha muziki.
Nikki MbishiWiki moja iliyopita  Mbishi alitangaza kuacha  muziki kupitia akaunti yake ya Twitter hali iliyopelekea baadhi ya wasanii wenzake kumtaka arudi kwenye gemu akiwemo Professor Jay.
Katika Freestyle iyo Nikki Mbishi anasikika akisema, ”Hapa ndio place to be, hakuna kusanda kukaza mpaka A to Z, unaongelea Akadumba, who is Nay to me?”,  Isikilize Freestyle hiyo hapo chini

No comments:

Post a Comment