.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Obama amtembelea Mfalme Mpya wa Saudi Arabia (King Salman)

Mr Obama amefupisha ziara yake ya nchini India ili kupata nafasi ya kufanya ziara fupi nchi Saudi Arabia, wakati ambao alikutana na mtawala mpya King Salman
.

Raisi Obama Alifuatana na viongozi maarufu wa Republican, wakiwa pamoja na Makatibu wa zamani James Baker na Condoleezza Rice.



Rais Obama na Mke wake Michelle Obama walikutana katika uwanja wa ndege huko Riyadh na Mfalme Salman na kisha kupelekwa Katika makazi binafsi ya Mfalme huko Erga Palace, kwa chakula cha jioni.

Mr Obama na Mfalme Salman walifanya mkutano wa Lisa limoja katika mkutano ambayo walijadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kampeni dhidi ya Islamic State (IS), maofisa wa Marekani alisema.


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad