Viongozi wanaoHusika na uchunguzi wa upotevu wa wanafunzi 43 huko nchini Mexico wamethibitisha kuwa wanafunzi hao walikuwa wametekwa nyara, na wameuwawa wote.
Familia za wahanga wana Amini wapendwa wao bado wapo hai - lakini kwa mara ya kwanza, mwanasheria mkuu wa Mexico alisema yeye Ana hakika kwamba wanafunzi wote waliuawa na kuchomwa moto kabla ya mabaki yao kutupwa ndani ya mto.
Jesus Murillo Karam pia amekata madai kwamba jeshi ili shiriki katika mauji hayo.
"Kufunga uchunguzi labda si neno sahihi, mpaka Nitakapo wakamata wote wanaohusika na mauaji kwaio siwezi Kufunga kesi, hivyo kwamba si neno sahihi." Alisema Jesus Murillo
Source: #SkyNews
0 comments :
Post a Comment