Mwanamke mwenye umri wa miaka 27, Leo Jumatano ameshtakiwa kwa kushindwa kulipa bili yake baada ya kukaa siku 21 katika Intercontinental Hotel, ikiwa na pamoja Siku ya wapendanao (Valentine's Day.
Laura Oyier Ogolla, kutoka Kenya alishtakiwa kwa kushindwa kulipa Sh229, 505.75 za kikenya. zilizotumia wakati alipokuwa akika katika HOTEL.
Aliwasilishwa mbele ya Hakimu Mkazi, Edda Agade katika mahakama ya Milimani. Alikana mashtaka na aliiambia mahakama kwamba yeye alikuwa ametelekezwa na mpenzi wake katika matumizi ya fedha katika hoteli. Ameachiliwa kwa dhamana ya Sh100,000 za kikenya ambazo zililipwa Cash.
Yeye alikamatwa Februari 16, 2015.
Tuachie Comment Yako
kisha
Usisahau kutufollow ili habari kama hizi zisikupite Pindi tu tatakapo ziweka.
Like our Facebook page CLICK HERE
Follow Twitter CLICK HERE
Follow Instagram CLICK HERE
0 comments :
Post a Comment