Sunday, 8 February 2015

JIBU LA LADY JAY DEE KWA MASHABIKI WAKE, "KWANINI HAFANYI COLLABO NA WASANII WA KIKE."


Kisha baada ya maswali kuulizwa, na kuonekana ni mengi sana kwa Jide Jay Dee kujibu akawapa njia fupi kwa kusema hivi

"Duuuh maswali yako mengi sana karibia 300 
Ila ki ukweli yote yanafanana 
So, what i will do 
I will pick top 10 ya maswali yaliojirudia, halafu nitalijibu moja baada ya jingine. 
Watu wooote nikiwakusanya, maswali yenu hayazidi 10 
Leo mtaelewa kwanini sijibu comments. Sababu nikifanya hivyo itabidi niache kazi zote, 🙆🙆🙆🙆🙆
Kaeni tayari kwa majibu, moja baada ya jingine 💋💋💋💋"

ok Swali lakwanza kujibiwa lilikua hili 


             

Endelea kutembelea Blog Ya Vijana ili ujue atakacho jibu Lady Jay dee katika maswali 9 yaliobaki pia unaweza mfollow Instagram Kupitia @jidejaydee 



No comments:

Post a Comment