Picha: Hivi ndivyo Keki ya birthday ya Neymar ilivyopambwa
Mshambuliaji machachari wa timu ya Taifa ya Brazil, Neymar Junior ambae anakipiga katika klabu ya Barcelona inayoshiriki ligi kuu Hispania, ametimiza miaka 23 hapo jana na hivi ndivyo keki yake ilivyopambwa ...Happy Belated Wishes Neymar Junior

No comments:
Post a Comment