Official Video: "Forever" - @JideJaydee ft Dabo - "Niliutoa km zawadi kwa kijana alieku..."
Mwanamuziki Lady Jay Dee alikuwa na haya yakusema kuhusu wimbo wa "Forever" wakati alipokuwa anajibu maswali 10 kuu yanayoulizwa sana kuhusu yeye, na kuamua kujibu swali la bonus ambalo lilikuwa kuhusu nyimbo yake mpya ya Forever aliomshirikisha Mwanamuziki Dabo. Haya ndo alioandika Mwanamuziki Lady Jay Dee katika ukurasa wake wa Instagram (@jidejaydee )
By @jidejaydee "BONUS : Kuhusiana na wimbo wa Foreverππππππ Niliutoa km zawadi kwa kijana aliekuwa rafiki, wakati nina matatizo, nikishapigwa mangumi, kushkiwa silaha visu n.k nimevimba sura, navuja midamu namkimbilia yeye, nikikwazwa naenda kumlilia yeye ,ππππππππππππππππππππππ ,,,kwa ki fupi ndio lilikuwa kimbilio langu sbb sijawahi kuskia kanitangazia matatizo yangu au vitu nilivyokuwa namsimulia Hadi leo hii ninapoamua kuvisema mimi mwenyewe Angeamua kuyasema, mngesha yaona kwenye magazeti tangu hiyo miaka 7 iliopita Watu km hao kizungu wanaitwa a shoulder to cry/lean on. .... Urafiki wetu ulidumu kwa miaka 7 kabla ya ku dedicate huo wimbo kwake. ...Nime eleweka? ? ?? πππππππππππ Mpk kuna kipindi nikawa nahofia, ni mwanaume wa aina gani anaeweza kusikiliza shida zangu kila siku bila kuwa mpenzi, (kuna kipindi nili m doubt kidogo) naniliu nini?? Koh koh ππππlakini kumbe walaaa, ni mzima tu (Samahani sunshine )
Ila nikagundua kuwa urafiki wa kweli huwa upo duniani. ππππππππππππ Sikuwa na kingine cha kumlipa zaidi ya kumuimbia wimbo, nilikuwa namuita/ nitaendelea kumuita Sunshine. Ana maisha yake na mahusiano yake na watu wake. Nitaendelea kumuheshimu kwa msaada alioutoa kipindi nilichomuhitaji πππππ Sijawahi ku wish kitu tofauti. Zaidi ya urafiki kati yangu mimi na yeye, (Sunshine)
Mengine yaliyomo kwenye wimbo ni chumvi na sukari tu za kisanii, ili kunogesha wimbo ππππππ Verse ya @dabomtanzania siwezi kumsemea Ila nahisi atakuwa kamuimbia mke wake Zena King'ombe Mama ake na Yvonne Mokonyo Kusikiliza na ku watch Forever video click hiyo link http://youtu.be/ua9orsQHvoI ππππππππππ Nawatakia kheri na ninawaombea muwapate marafiki km sunshine watakaokuwepo kusikiliza matatizo yenu kila siku, utafikiri wao hawana ya kwao. πππππ Ni moyo wa kujitolea"
No comments:
Post a Comment