Mashabiki wa Beyonce wamecharuka katika mtandao wa Twitter baada ya picha zaidi ya 200 za tangazo alilofanya Beyonce mwaka 2013 kuvuja.
Kuvuja kwa picha hizo imeleta tatizo kubwa sana kwani picha hizo hazina quality yani hazijaitishwa Photoshop.
Picha za mwimbaji Beyonce kutoka kwenye Tangazo la L'Oreal's Feria and Inflallible zilizovuja kabla hazija pitishwa kwenye Photoshop. Picha hizo zilivuja mitandaoni siku ya Jumatatu.
Picha iliotoka kwenya Tangazo mwaka 2013 ndo hio (Katikati) ikiwa imeshapita Photoshop huku (kushoto na Kulia) zikiwa ndo zilizovuja Jumatatu 2015
Bado mwanamuziki huyo hajasema chochote kuhusu picha hizo, ambazo ziliondolewa katika mtandao muda mfupi baada kuwekwa.
Picha zinaonesha zimetoka kwenye Tangazo la L'Oreal's Feria and Infallible alilofanya Beyonce, Kampuni hi inatangaza dye za nyewele, Lipsticks na Foundations.
Baada ya kusamba kwa picha hizo, japo website husika walishazitoa na kuweka Message hii
"'Kutokana na hasira za BeyHive, tumeondoa picha,' inasomeka taarifa.
'Hatutaki kusababisha mchezo wa kuigiza , wala vita ya mashabiki. Baadhi ya mambo tumeona yana postiwa yanatisha, na hatutaki kuhusika sehemu yoyote juu ya hilo. Sisi tuliweka picha ili kuonesha jinsi gani malkia wetu ana uzuri halisia, wakati huo huo yeye ni mwanamke tu wakawaida. '
Wakati hayo yanaendelea upande wa Mashabiki waliochizika na Beyonce wanao julikana kama "BeeHive" wao wanaendelea kusuppport upande wa Beyonce kwa kusema
Kabla na Baada
No comments:
Post a Comment