.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Petit man atoa zawadi ya Gari kwa EsmaPlatnum kwenye BirthdayParty

Jana ilikua Birthday ya Esma Platnumz ambae ni Dada wa Mwanamuziki, DiamondPlatnumz pia Esma ni Mke halali wa Petit Man Wakuache ambe ni Meneja wa Msanii Mirror ambae yupo chini ya label ya EndlessFame, Birthday Party ilifanyika maeneo ya SamakiSamaki huku ikiudhuriwa na ndugu, jamaa na Marafiki.
Kama kawaida huwa ikitokea birthday huwa zawadi hazikosekani, basi Jana Kijana Petit Man alituachua midomo wazi pale samaki samaki baada ya kumpa zawadi ya ndiga Mke wake ambae ni Mjamzito, shangwe nyingi Sana  zililindima. 
Esma atoa shukrani kwa mume wake kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika haya
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad