Jana ilikua Birthday ya Esma Platnumz ambae ni Dada wa Mwanamuziki, DiamondPlatnumz pia Esma ni Mke halali wa Petit Man Wakuache ambe ni Meneja wa Msanii Mirror ambae yupo chini ya label ya EndlessFame, Birthday Party ilifanyika maeneo ya SamakiSamaki huku ikiudhuriwa na ndugu, jamaa na Marafiki.
Kama kawaida huwa ikitokea birthday huwa zawadi hazikosekani, basi Jana Kijana Petit Man alituachua midomo wazi pale samaki samaki baada ya kumpa zawadi ya ndiga Mke wake ambae ni Mjamzito, shangwe nyingi Sana zililindima.
Esma atoa shukrani kwa mume wake kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika haya
No comments:
Post a Comment