Mashabiki wa Beyonce wamecharuka katika mtandao wa Twitter baada ya picha zaidi ya 200 za tangazo alilofanya Beyonce mwaka 2013 kuvuja.
Kuvuja kwa picha hizo imeleta tatizo kubwa sana kwani picha hizo hazina quality yani hazijaitishwa Photoshop.
Bado mwanamuziki huyo hajasema chochote kuhusu picha hizo, ambazo ziliondolewa katika mtandao muda mfupi baada kuwekwa.
Picha zinaonesha zimetoka kwenye Tangazo la L'Oreal's Feria and Infallible alilofanya Beyonce, Kampuni hi inatangaza dye za nyewele, Lipsticks na Foundations.
Baada ya kusamba kwa picha hizo, japo website husika walishazitoa na kuweka Message hii
"'Kutokana na hasira za BeyHive, tumeondoa picha,' inasomeka taarifa.
'Hatutaki kusababisha mchezo wa kuigiza , wala vita ya mashabiki. Baadhi ya mambo tumeona yana postiwa yanatisha, na hatutaki kuhusika sehemu yoyote juu ya hilo. Sisi tuliweka picha ili kuonesha jinsi gani malkia wetu ana uzuri halisia, wakati huo huo yeye ni mwanamke tu wakawaida. '
Wakati hayo yanaendelea upande wa Mashabiki waliochizika na Beyonce wanao julikana kama "BeeHive" wao wanaendelea kusuppport upande wa Beyonce kwa kusema
0 comments :
Post a Comment