.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Wale na Meek Mill waingia Studio, Waweka tofauti zao Pembeni

Wale and Meek Mill
Mwanamuziki "Wale" pamoja na "Meek Mill" wameweka tofauti zao pembeni. 
Wanamuziki hao ambao wapo pamoja chini ya Label ya MMG waliingia studio pamoja wiki hii kwa ajili ya Nyimbo Mpya. Wote walipost picha moja kwenye account zao za Instagram.
"Usiku sana tunapika," alisema Wale

Mwezi July mwaka 2014 Meek alitumia mtandao wa Twittter kusema jinsi Wale anavyomchukia. Lakini mwezi January, Wale alionesha jkwamba wawili hao wapo katika maelewano mazuri baada ya kumpeleka Meek Mill, Philadelphia kwenye show yamwisho ya  "Simply Nothing Tour."
Haijajulikana collabo hio itaishia wapi. Meek anshugulikia album yake ya "Dreams Worth More Than Money" huku album ya Wale "The Album About Nothing" inatoka March 31


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad