.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Kauli hii ya Davido kuhusu Nyimbo ya Diamond Platnumz yawachukiza Mashabiki



Msanii kutoka Nigeria, Davido ametoa kauli ya dharau kwa msanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz baada ya kuulizwa kuhusu Umaarufu wa nyimbo waliofanya pamoja na Diamond ijulikanayo kama "Number One Remix". Kauli hio imewachukiza mashabaki na wapenzi wa music ukizingatia hii ndo nyimbo ilomfanya Msanii Diamond Kupata umaarufu nje ya mipaka ya Tanzania.

Baadhi ya Comment za Mashabiki


Davido alikuwa nchini Kenya na  alifanya show moja kali iliohudhuriwa na mashabiki kibao. 

Wakati wa Mahojiano na mmoja wa waandishi kutoka nchini Kenya, ambae alimuuliza kama nyimbo ya "Number One Remix" inachezwa kwenye radio za nchini Nigeria ndipo msanii Davido alipoonyesha dharau kwa kugeuka pembeni na kubinua mdomo kisha kujibu HAPANA huku akicheka kwa dharau.


Cheki mahojiano hayo hapa


Utofauti wa wasanii hawa ulianza kuonekana mwaka jana baada ya Davido kupost tweet na kuandika 


mara tu baada ya Idris Sultan kutangazwa mshindi wa BigBrother Hotshot 2014, kisha Diamond Platnumz akajibu mapigo kwa
kuandika
  
baada ya kupokea tuzo nchini Nigeria masaa kadha baada ya tweet ya Davido. 

Mashabiki wa pande zote mbili waliingia katika vita ya maneno, mpaka pale meneja wa Diamond Platnumz alipofunguka kupitia mahojiano na GlobalTv Online na kueleza kwamba Ameshaongea na Meneja wa Davido na ameelezwa kwamba Tweet ya msanii Davido haikuwa inamaanisha kama ilivyoeleweka. Hapo ndo ukawa mwisho wa maneno kuhusu wawili hao. 

Unazungumziaje Issue Hii...Tuachie Comment yako...

Like our  Facebook page CLICK HERE
Follow Twitter CLICK HERE
Follow Instagram CLICK HERE
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad