.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Charles Hilary arejea rasmi Tanzania, Tido Mhando afurahishwa na ujio wake AzamTv

Charles Hilary akiwaaga wenzie waliomsindikiza Airport akiwa Airport kurejea  Tanzania

Mtangazaji maarufu aliyekuwa akitangaza kituo cha BBC Swahili London, Charles Hilary amestaafu katika kituo hicho baada ya kufanya kazi kwa takribani miaka 10 kisha kuamua kurudi nchini Tanzania kujiunga na kituo cha AzamTv akipewa nafasi ya "Mkurugenzi" 

Kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook aliyekuwa mtangazaji mwenzie wa Bbc Swahili, Salim Kikeke aliandika maneno haya pamoja na picha (juu)

"Charles Hilary jana usiku akiwa uwanja wa ndege wa Heathrow akiwa anarejea Tanzania baada ya kustaafu BBC."



Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad