Thursday, 26 March 2015

Lady Jay Dee apanga Mazishi yake, Kuwe na Mualiko, Achagua Jeneza

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mwanadada Lady Jay Dee amepost picha ya majeneza mawili ambayo angependa mojawapo azikwe nalo na kuandika hivii;
"I've changed my mind (Nimebadilisha mawazo)
Sitaki tena lile la purple
Moja kati ya hayo hapo juu
‪#‎MsiMind‬
‪#‎KilaMtuAtakufa‬
‪#‎Msiogope‬
Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only (akimaanisha kwa watakaoalikwa tu)
‪#‎SitakiKufunuliwa‬"
Una lipi la kusema?

No comments:

Post a Comment