Matokeo: Brazil 3 - 1 France, Cheki statistics, Wafungaji na Picha za mechi hio ya Kirafiki
Gustavo akishangilia goli lake Matuidi akijaribu kuchukua mpira kwa Neymar Morgan Schneiderlin akijaribu kuwatoka Filipe Luis na Elias Wachezaji wa Ufaransa wakiwa katika yuso za huzuni wakati wa dakika moja ya Ukimya wa kuwakumbuka waliofariki kwenye ajali ya ndege mapema wiki hii
No comments:
Post a Comment