.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Hili ndo dau alilitoa Mourinho ikitokea ni kweli Real Madrid wanamtaka Hazard



Endapo klabu ya Real Madrid ikitaka kumsajili mchezaji wa klabu ya Chelsea, Eden Hazard itawagharimu £100 (Tsh 295,842,760,000/=) au wabadilishane mchezaji wao mmoja wa kiwango/bei ya juu, amesema kocha mkuu Jose Mourinho


Hazard mwenye miaka 24 amefunga mgoli 18 katika msimu, kuisaidia chelsea kuwa point 6 zaidi wakiwa namba 1 katika ligi kuu Uingereza.


Alipoulizwa kama  £100m inatosha kumsajili Mbelgian Hazard, Mourinho alisema. "Ongeza mmoja kati ya wachezaji wao watatu bora."
" £100m - ni mdogo sana."


Cristiano Ronaldo, Gareth Bale and James Rodriguez wanachukuliwa kama wachezaji bora watutu wa Real Madrid.


Mourinho, ambae timu yake inakutana na Arsenal Jumapili ya leo 26/4/2015 aliongezea
 "Kama wanamtaka, nadhani ntakuwa wakwanza kujua, kwasababu uhusiano wangu na raisi [Florentino Perez] na CEO [Jose Angel Sanchez] hakuna nafasi ya jambo kufanyika nyuma yangu.

"Nawa Amini kabisa . Kama wanamtaka wananipigia simu nakuniambia wanamtaka."


Hazard yupo kwenye nafasi nzuri ya kutajwa kama mchezaji bora wa mwaka wa PFA leo jumapili, akiwa category moja na De Gea, Sanchez, Costa, Coutinho na Kane

"Anajua kwamba yeye ni mchezaji special kwetu na tunamuhitaji kwenye matukio tofauti kutuokoa sisi, ila ni kijana wakawaida." Alisema Mreno huyo.

"Anataka  kuwa mchezaji special na mtu wakawaida. Ni kijana mahili, kijana dhahabu.
"Hadanganyi. hajiangushi. hamna kitu. kwaio nadhani, hata kwa wapinzani, ni mchezaji mahili."



Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad