Guardiola amuonesha maajabu mchezaji mwezake wazamani wa barcelona fc, Julen Lopetegui ambae ni kocha wa Porto baada ya kupewa kichapo cha 6-1 na kuiwezasha Bayern Munich kufuzu hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.
Thiago Alcantara akishangilia goli lakwanza alilofunga dakika ya 14
Robert Lewandowski mshambuliaji wa bayern alifunga magoli 2 leo katika dakika ya 27 na 40
Ribery pamoja na Alba amabo leo walikuwa majeruhi wakiwa wamekaa
0 comments :
Post a Comment